Share

Paka Mtabiri

Share This:

Paka asiye na uwezo wa kusiki ndiye mtabiri wa mechi za kombe la dunia linaloanza leo Urusi. Katika jukumu lake la kwanza paka huyo mweupe kwa jina Achilles ametabiri kwamba Urusi itaishinda Saudi Arabia kwenye mechi ya ufunguzi.

Leave a Comment