Share

Paka mwitu huyu amekosa shukrani au watu wamemuharibia starehe yake?

Share This:

Paka mwitu huyu alipanda juu ya nguzo ya umeme. Mamlaka husika Florida ikaamua kwamba impatie msaada. Lakini hakufurahishwa na msaada wao..

Leave a Comment