Share

Pancho aagwa Lugalo/ Vilio vyatawala/ Wasanii washindwa kutokeza

Share This:

Mastaa na wadau wa sanaa wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Pancho aliyefariki siku mbili zilizopita kwa ajali ya maji huko Mbudya jijini Dar es salaam. Baada ya ibada hii mwili utasafirishwa nyumbani kwao Gairo kwaajili ya mazishi siku ya kesho.

Leave a Comment