Share

Papa Francis awabusu miguuni viongozi wa Sudan Kusini

Share This:

Papa Francis apiga magoti na kubusu miguu ya rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, hasimu wake ambaye pia ni naibu wake Dkt Riek Machar na mke wa muasisi wa taifa hilo bi Rebecca Garang.

Je unahisi tukio hili litahukumu nafsi za viongozi hawa na kuleta amani ya kudumu Sudan Kusini ?

Leave a Comment