Share

Paul Makonda baada ya kukosa penati uwanja wa Uhuru

Share This:

Leo August 12 2017 kumefanyika Tamasha la usalama Barabarani ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Mechi kati ya Wabunge na Mabozi wa Usalama Barabarani ni moja kati ya matukio yaliyofanyika

Leave a Comment