Share

Penati aliyokosa Paul Makonda Uwanja wa Uhuru leo

Share This:

Leo August 12 2017 kumefanyika Tamasha la usalama Barabarani ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi na moja kati ya vilivyofanyika kwenye tamasha hilo ni mechi kati ya Wabunge na Mabalozi wa Usalama Barabarani ni moja kati ya matukio yaliyofanyika

Leave a Comment