Share

Pesa za Rambirambi zaivuruga familia ya Mbalamwezi, wadai pesa ya sanda haijalipwa

Share This:

#RIPMbalamwezi. Ikiwa ni wiki moja tu imepita toka Mbalamwezi msanii wa The Mafik azikwe, familia wa marehemu huyo imeingia kwenye mgogoro kwa madai pesa ambazo zilipatikana kama rambirambi hazionekani huku kitabu cha rambirambi kikichanwa karatasi ambazo ziliandikwa majina ya wachangiaji hali ambayo imepelekea deni la sanda pamoja na vifaa vingine kuchukua muda mrefu bila kulipwa.

Leave a Comment