Share

Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa

Share This:

November 4, 2017 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto alikutana na Waandishi wa habari ofisini kwake kwa ajili ya kutoa taarifa ya matukio mbalimbali ya mkoa ambapo kati ya matukio hayo ni pamoja na namna Polisi walivyomkamata mtuhumiwa aliyejitengeneza tukio la kuvamiwa na kuporwa fedha za mwajiri wake.

Leave a Comment