Share

Polisi ‘imewasukumia ndani’ Mashoga kumi wakisheherekea ‘harusi ya kishoga’

Share This:

Shirika la kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International limeripoti kuwa wanaume 10 wamekamatwa na polisi Zanzibar kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. wamekamatwa fukwe ya Pongwe walipokuwa katika harusi ya mashoga. Wengine sita walifanikiwa kuwatoroka polisi.

Baada ya kusikia taarifa hizo AyoTV na millardayo.com tumemtafuta Kamanda wa Polisi Kusini Unguja ambaye amethibitisha kukamatwa kwa Wanaume hao kumi.

Leave a Comment