Share

Polisi wakabiliana na wanamazingira katika msitu wa Hambach

Share This:

Polisi nchini Ujerumani wamekabiliana na wanamazingira katika msitu wa Hambach, ambao walikuwa wanaizuia kampuni ya nishati ya RWE kuanza kuchimba makaa ya mawe kwenye msitu huo. Papo kwa Papo 14.09.2018

Leave a Comment