Share

Prince Herry aeleza sababu ya wimbo wa Davido, Diamond kukwama Marekani

Share This:

Msanii wa muziki, Prince Herry ambaye kwa miaka 18 anafanya shughuli zake za muziki akiwa nchini Marekani amefunguka kwa kueleza sababu ya ngoma nyingi za wasanii wa Afrika akiwemo Diamond, Davido kukwama kupenya nchini humo.

Leave a Comment