Share

Producer Akili The Brain akimuaga Pancho ‘tuthaminiwe kabla ya kifo’

Share This:

Mtayarishaji na msanii wa muziki, Akili The Brain amewataka wadau wa sanaa kuwathamini wasanii pamoja na maproducer kwa kuteza kazi zao na kuwalipa vizuri na sio wakishafariki ndio sifa ziende kwa marehemu.

Leave a Comment