Share

Raia wataka serikali ya kiraia Sudan

Share This:

Ni wiki moja tangu jeshi kumuondoa madarakani Rais Omar al-Bashir wa Sudan. Lakini maandamano bado yanaendelea katika mitaa ya miji tofauti ya nchi hiyo. Raia hawaitaki serikali ya kijeshi.

Leave a Comment