Share

Raila Odinga apinga matokeo ya awali ya uchaguzi

Share This:

Upinzani Kenya wakataa matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika jana. Rais Jacob Zuma anusurika katika kura ya bunge ya kutokuwa na imani nae. Na Korea Kaskazini huenda ikakishambulia kisiwa cha Marekani cha Guem kilichoko bahari ya Pasifiki. Papo kwa Papo 09.08.2017.

Leave a Comment