Share

Rais Dkt. John Magufuli akutana na Bill Gates

Share This:

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na tajiri namba moja duniani Bill Gates ambaye pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Kupitia Taasisi yao wamekubali kuipatia Tanzania Tsh. Bilioni 777 kutekeleza miradi ya afya, kilimo na mifumo ya kKielektriniki ya upatikanaji taarifa hapa nchini.

Leave a Comment