Share

Rais Dkt.Magufuli afanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha kwa kutembea kwa miguu.

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika wizara ya fedha kwa kutembea kwa miguu kutoka ofisini kwake Ikulu hadi wizarani hapo na kuwataka watendaji wakuu wa wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa kukusanya kodi hasa kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa ambao wanadaiwa kukwepa kodi ili serikali iweze kutoa huduma za kijamii kwa wananchi hasawa hali ya chini ikiwemo kutoa elimu bure kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kuanzia mwakani.

Leave a Comment