Share

Rais Dkt.Magufuli aishukuru serikali ya China wa kuendeleza ushirikiano.

Share This:

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli amemshukuru rais wa Jamhuri ya watu wa china,Mhe. Xi Jinping kwa kuuendeleza ushirikiano na uhusiano mzuri wa Tanzania na China ikiwemo misaada na uwekezaji ambao China inaufanya hapa nchini.

Leave a Comment