Share

Rais Dkt. Magufuli ametoa salaam za pole kufuatia kifo cha Mh. Samwel John Sitta.

Share This:

Aliyewahi kuwa spika wa bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samwel John Sitta amefariki dunia nchini Ujerumani alipokuwa akitibiwa baada ya kusumbuliwa na maradhi ya saratani ya tezi dume.

Leave a Comment