Share

Rais Dr Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa Muhimbili.

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kutoa fursa kwa wagonjwa kumueleza changamoto za kimatibabu wanazokutana nazo hospitalini hapo na kuonesha kukerwa na ubovu wa baadhi ya vifaa muhimu vya tiba huku vikipatikana katika hospitali binafsi.

Leave a Comment