Share

Rais JPM baada ya kukutana na Balozi mdogo wa Marekani

Share This:

Rais Magufuli amekutana na Balozi mdogo wa Marekani Inmi Patterson Ikulu Dar es Saalam na kuahidi Tanzania itaendelea kushirikiana na Marekani.

Leave a Comment