Share

Rais Kikwete amewahakikishia watanzania kuwa uchaguzi utakuwa huru na amani.

Share This:

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Dr Jakaya Kikwete amewahakikishia watanzania uchaguzi utakuwa huru na wa amani na wasiwe na hofu, na kuwaonya wale ambao wanapanga kuleta fujo watakiona.

Leave a Comment