Share

“Rais Magufuli akinisikia leo, Waziri umeingizwa chaka” –Agnes Marwa

Share This:

May 17, 2018 Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa Bungeni ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Agnes Marwa aliyehoji kwanini Serikali inashindwa kuwasaidia wafugaji na wavuvi licha ya kwamba inakusanya kodi nyingi kutoka kwao.

Leave a Comment