Share

RAIS MAGUFULI ALIVYOKUBALI OMBI LA SHEIKH KISHKI “ATAKUWEPO TAIFA”

Share This:

Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano makubwa ya Afrika ya Quran yanayotarajiwa kufanyika Mei 19, 2019 katika Uwanja wa Taifa wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.

Katika mashindano hayo, mshindi wa kwanza anatarajia kupata kitita cha Shilingi Milioni 20 pamoja na zawadi nyingine.

Leave a Comment