Share

Rais Magufuli amezitaka nchi za Afrika zijipange vyema kuinua uchumi wake.

Share This:

Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli amekabidhiwa uenyekiti wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC na kusema kuwa atahakisha amani na usalama vinadumishwa ambapo amezitaka nchi za Afrika zijipange vyema kuinua uchumi wake.

Leave a Comment