Share

RAIS MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO KATAVI

Share This:

Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 9, 2019 anaanza ziara ya siku tatu mkoani katavi ambapo anatarajiwa kufungua barabara ya KANAZI-KIZI KIBAONI yenye urefu wa Km 76. Rais Magufuli yupo katika ziara ya siku tisa katika mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi.

Video credit- Azam Tv

Leave a Comment