Share

Rais Magufuli asamehe wafungwa 4,477 kuelekea sherehe za Uhuru

Share This:

Rais John Magufuli amerejea kauli yake ya kuahirisha  maadhimisho ya sherehe za uhuru zinazofanyika Desemba 9 kila mwaka na kuagiza fedha zilizotengwa zielekezwe kujenga hospitali jijini Dodoma itakayoitwa Hospitali ya Uhuru.

Leave a Comment