Share

Rais Magufuli asema hakuna wa kuogopwa kwenye vita ya Madawa ya kulevya

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amepongeza jitihada za RC Makonda pamoja IGP Ernest Mangu katika kupambana na Madawa ya kulevya huku akidai Madawa ya kulevya hayana mtu maarufu

Leave a Comment