Share

Rais Magufuli Atua Zanzibar

Share This:

Rais wa Tanzania Dr John Magufuli tayari amewasili visiwani Zanzibar ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kumbukumbu ya kifo cha mwalimu Nyerere

Leave a Comment