Share

Rais Magufuli Awasili Visiwani Zanzibar

Share This:

Rais wa Tanzania Dr John Magufuli ameondoka Dar Es salaam kuelekea visiwani Zanzibar ambapo atakuwa mgeni rasmi katika kumbukumbu za kifo cha Mwalimu Nyerere

Leave a Comment