Share

Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti wa Afrika Mashariki

Share This:

Leo mawaziri kutoka nchi za Afrika Mashariki wamekutana Dar es salaam kuzungumza na kutazama muelekeo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga ameeleza kuwa Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo, President Magufuli atakabidhi uenyekiti kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni May 20 2017 jijini Dar es salaam.

Leave a Comment