Share

Rais mstaafu Dr Kikwete akabidhi rasmi ofisi kwa rais wa awamu ya tano Dr Magufuli.

Share This:

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete namna serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dr John Pombe Magufuli ilivyoanza utendaji wake inampa imani kubwa ya kiutendaji utakaoleta ufanisi katika maendeleo ya Tanzania kiuchumi na kijamii ambapo rais Dr John Pombe Magufuli ameahidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kufikia azma na matamanio ya watanzania ya kuwa na serikali adilifu, inayowajibika kwa wananchi ili kuwaletea maendeleo.

Leave a Comment