Share

Rais wa Congo Joseph Kabila hatagombea muhula wa tatu

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila hatowania muhula wa tatu katika uchaguzi unaopangwa kufanyika Desemba mwaka huu, kwa sababu katiba inamnyima uwezekano huo. Hayo yameelezwa na waziri mkuu wa nchi hiyo Bruno Tshibala. 13.06.2018

Leave a Comment