Share

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir aenda Uganda

Share This:

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir ameenda Uganda kwa ziara ya siku moja inayolenga kuimarisha mashirikiano baina ya nchi hizo. Pamoja na mwenyeji wake, rais Yoweri Museveni wamejadili pia masuala ya kikanda, ikiwemo mzozo wa Sudan Kusini.

Leave a Comment