Share

RAIS WA TLS ATAJA MWANAMKE NA MWANAUME HATARI

Share This:

Rais wa Chama cha Mawakili nchini (TLS), Fatma Karume ametoa maoni yake juu ya kitu kinachowaharibu wanaume huwa ni pesa na madaraka na si kingine, wengi wao hugeuka na kuanza kufanya vitendo vya kikatili.

Leave a Comment