Share

Rama Dee akubali mastaa Bongo kutoka na wapenzi waliowazidi umri

Share This:

Mkali wa Muziki wa RnB Bongo, Rama Dee amesema haoni tatizo kwa mastaa kutoka kimapenzi na watu waliowazidi umri ilimradi muhusika ana miaka 26 na zaidi.

Leave a Comment