Share

RC Ayoub kutoka Mjini Magharibi akamilisha ahadi aliyotoa kwa Wazanzibari

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahamud amekamilisha ahadi yake ya kusaidia jamii kwa kuendeleza majengo yalioachwa bila kumaliziwa, hii ni moja ya mambo aliyoahidi katika kampeni ya Mimi na Wewe

Leave a Comment