Share

Rc Ayoubu ataja sababu za kufanikisha waliyoshindwa viongozi waliopita

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamudu ametaja sababu za yeye kuweza kufanikisha mambo ambayo viongozi waliopita katika mkoa huo walishindwa kuyafanya ikiwemo ujenzi wa madarasa ya wanafunzi ambayo yaliyotelekezwa kwa zaidi ya miaka mitano.

Leave a Comment