Share

RC Makonda aeleza kwanini kijana aliyemkumbatia Rooney aliachiwa

Share This:

Mechi kati ya Everton na Gor Mahia iliyochezwa Uwanja wa Taifa Alhamisi hii imeacha matukio mengi ya kihistoria katika soka nchini Tanzania. Mchezo huo ulimalizika kwa vijana hao wa Donald Koeman kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Gor Mahia ya nchini Kenya.

Leave a Comment