Share

RC MAKONDA AMTEMBELEA MTOTO HAMISI MUHIMBILI DSM, AMPA PESA ZA MATUMIZI

Share This:

RC Makonda amemtembelea Mtoto Hamisi aliyelazwa katika hospital ya Muhimbili DSM akiwa anapatiwa matibabu kutokana na tatizo lake la kuvimba miguu ambapo RC Makonda amemkabidhi mtoto Hamisi Laki tano kwa ajili ya chakula huku akiahidi kuendelea kumpa msaada mpaka atakapo pona.

Leave a Comment