Share

RC Mbeya Chalamila “Kuagiza Kijiji chote kikamatwe eti! wanasema Mi mkali”

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amefanya Kikao na Madiwani wa Wilaya Chunya amewataka Madiwani hao kuweka tofauti za Vyama vyao pembeni ili wawatumikie wananchi pia akatolea ufafanuzi tamko alilotoa la kutaka Kijiji cha Ngole wananchi wote wakamatwe.

Leave a Comment