Share

RC MWANRI AIBUKIA KWENYE UKIMWI “ETI WANANINYAPAA, UKIVAA BARAKOA HAWAKUTAMBUI”

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka vijana walio katika baraza la watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kufanyakazi na jamii bila kujali unyanyapaa kwani tatizo hilo ni kama matatizo mengine

Akuzungumza na wafanyakazi wa Balaza hilo amesema”Hali ya sasa si ngumu sana kama ilivyoanza ni kama Corona tu sasa hivi ukienda kupima ukakutwa unao utaishi maisha maisha yako yote na akafa kifo cha kawaida vijana msiogope unyanyapaa” RC Mwanri

Leave a Comment