Share

RC MWANRI AZINDUA KAMPENI FICHUA UHARIFU, KURA ZA SIRI ZAMUIBUA DIWANI NA MCHUNGAJI WAIBUKA VINARA

Share This:

RC wa TABORA AGGREY MWANRI kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Tabora wamezindua kampeni ya kudhibiti uharifu unaoendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo ya mkoa huo

Akiwa katika kata ya Mabama wilaya ya Uyui ameendesha zoezi la kura za siri “Tutapiga kura za siri na tunataka mtutajie watu wote wanaotusumbua hapa mtu akitajwa na watu 40 swali letu ulikaakaaje” RC MWANRI

Leave a Comment