Share

RC MWANRI KATUA DSM NA KUTUONESHA FAMILIA YAKE

Share This:

Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amefika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusheherekea mahafali ya mwanaye aliyeapishwa kuwa Wakili. Mbali na mambo mengine amesema kuwa sheria ni kama Shoka watu wanatakiwa kuisimamia ipasavyo hili lisiwakate.

Leave a Comment