Share

RCO alienda kumuhoji JPM anavyojisikia juu ya maneno ya Halima Mdee?

Share This:

Mahakamani Kisutu ambapo Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Ilala (RCO), Davis Msangi ameeleza kuwa hajawahi kumuhoji Rais John Magufuli jinsi anavyojisikia kuhusu maneno yaliyotamkwa na mbunge wa Kawe Halima Mdee dhidi yake.

RCO Msangi ameyaeleza hayo wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati alipohojiwa na Wakili wa Mdee, Peter Kibatala.

Leave a Comment