Share

Rekodi aliyoiweka Guardiola baada ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi

Share This:

Ligi Kuu England leo wametangaza tuzo tatu za mwezi December kama ilivyokawaida yake ya kila mwezi kutangaza mshindi wa tuzo ya kocha bora wa mwezi, mchezaji bora wa mwezi na goli bora la mwezi. EPL wamemtangaza kocha wa Man City Pep Guardiola kuwa ndio mshindi wa tuzo ya kocha bora wa mwezi December kwa Ligi Kuu England EPL, ushindi huo unamfanya Guardiola kuwa kocha wa kwanza katika historia ya EPL kuwahi kushinda tuzo hiyo mara nne mfululizo.

Leave a Comment