Share

Roma awa gumzo mtandaoni kwa kitendo kuimba nyimbo za kumsifu Mungu

Share This:

Msanii wa muziki wa hip hop Roma Mkatoliki amekuwa gumzo mtandaoni baada ya kuonekana akiimba wimbo wa kumsifu Mungu ikiwa na wiki moja toka atekwe na kuachiwa

Leave a Comment