Share

Ronaldo lazima / German, Brazil, France, Spain zitafanya Makubwa – Joh Makini

Share This:

Rapper Joh Makini amesema katika michuano ya Kombe la Dunia 2018 mchezaji anayemtazama zaidi ni Christian Ronaldo, huku akitaja timu tano zitakazofanya vizuri.

Leave a Comment