Share

RPC “Alimtembezea kipigo hadi akazirai, asubuhi alikutwa amefariki”

Share This:

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Ahmed Msangi amekanusha taarifa za mauaji ya Muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya askari Polisi mkoani humo, huku wakiwataka waandishi wa habari kuacha kuandika vitu kwa mihemuko bila ya kufuata utaratibu.

Leave a Comment