Share

RPC MUROTO AFUNGUKA ALIVYOMNASA MKURUGENZI AKIJIFANYA USALAMA WA TAIFA

Share This:

December 7, 2018 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma RPC Gilles Muroro amekutana na Waandishi wa Habari ofisini kwake na kutoa taarifa ya baadhi ya matukio ya uhalifu waliyofanikiwa kuyakabili katika kipindi cha kuelekea mwisho wa mwaka ambapo miongoni mwa matukio hayo ni watuhumiwa wawili waliojifanya usalama wa taifa na kuwatapeli watu..

Leave a Comment