Share

RUNGWE ACHARUKA ISHU YA WAKURUGENZI KATIKA KUSIMAMIA UCHAGUZI

Share This:

Viongozi waandamizi wa vyama vya ACT Wazalendo, CCK, CHAUMA, CHADEMA, DP, NCCR Mageuzi, NLD na UPDP, wakiongozwa na mwenyekiti wa CHAUMA Hashim Rungwe wamekaa mbele ya waandishi wa habari na kutoa msimamo wao kuhusu maamuzi ya mahakama kuu kutengua ushiriki wa wakurugenzi katika kusimamia uchaguzi

Leave a Comment